Kifungu cha 9
Article 9
Ijtihad ni wajibu wa kutosheleza, na kila Muslim ana haki ya kufanya Ijtihad mradi atimize masharti yake yote.
Ijtihad is a duty of sufficiency and every Muslim reserves the right to perform Ijtihad provided he meets all its prerequisites.
Sharia ya Kiislamu imeweka ijtihadi kuwa wajibu kwa Waislamu ili kutoa hukumu za Sharia kutoka katika kauli ya Mwenye Kutoa Sharia, yaani kutoka katika nusu za Sharia zilizoteremshwa na Allah (SWT) kwa Mjumbe wa Allah ﷺ. Ukweli kwamba ijtihadi ni wajibu umethibitishwa kupitia riwaya kadhaa. Mjumbe wa Allah ﷺ alisema:
The Islamic Shari’ah has made Ijtihad to deduce the Shari’ah rules from the address of the Legislator – i.e. from the Shari’ah texts which are revealed by Allah (swt) to the Messenger of Allah (pbuh) - an obligation upon the Muslims. The fact that Ijtihad is an obligation has been confirmed through several narrations. The Messenger of Allah (pbuh) said:
. إِذَا حَكَمَ الْحَاكِمُ فَاجْتَ هَدَ ثُمَّ أَصَابَ فَ لَهُ أَجْرَانِ، وَإِذَا حَكَمَ فَاجْتَ هَدَ ثُمَّ « » أَخْطَأَ ف لَهُ أَجْرٌ .
. إِذَا حَكَمَ الْحَاكِمُ فَاجْتَ هَدَ ثُمَّ أَصَابَ فَ لَهُ أَجْرَانِ، وَإِذَا حَكَمَ فَاجْتَ هَدَ ثُمَّ « » أَخْطَأَ ف لَهُ أَجْرٌ .