Kifungu cha 128
Article 128
Mali binafsi ni hukum wa Shari'ah unaoamuliwa na mali yenyewe au manufaa yatokanayo nayo. Hili linamstahilisha mmiliki wa mali kunufaika nayo au kupata badala yake.
Private property is Shari’ah rule determined by the property itself or the benefit from it. This qualifies the one that owns a property to benefit of it or gets an exchange for it.
Ushahidi wa makala hii ni dalili za Shari'ah zinazoonyesha kwamba maana ya umiliki binafsi ni idhini ya Mwekaji Sheria (swt) kwa matumizi ya mali yenyewe, ambayo inajumuisha idhini Yake (swt) kuhusu matumizi, na hilo linahitaji dalili kwa kila matumizi kwa kuwa ni tendo la mja, hivyo ni lazima kuwepo kwa kauli kutoka kwa Mwekaji Sheria (swt) kuhusu hilo. Vivyo hivyo, pia inajumuisha idhini Yake (swt) kuhusu iwapo mali yenyewe inaweza kutumiwa au la, jambo ambalo halihitaji dalili kwa kila kitu. Badala yake, msingi katika kila mali ni kwamba imeruhusiwa kumilikiwa kutokana na dalili ya jumla katika kauli Yake (swt):
The evidence of this article is the Shari’ah evidences which indicate that the definition of private ownership is the permission of the Legislator (swt) for the utilisation of the property itself, which encompasses His (swt) permission with respect to utilisation, which in turn requires an evidence for every utilisation since it is the action of the worshipper, and so it is imperative that there is an address from the Legislator (swt) regarding it. In the same way it also encompasses His (swt) permission with respect to whether the property itself can be utilised or not, which does not require an evidence for every item. Rather, the origin in every property is that it has been permitted to be owned due to the general evidence in His (swt) words: