Ibara ya 165
Article 165
Maendeleo na uwekezaji unaofanywa na mifuko ya kigeni ndani ya Dola ni haramu. Pia ni haramu kuwapa wageni leseni za kibiashara za franchise.
Development and investment by foreign funds within the State are forbidden. It is also prohibited to grant franchises to foreigners.
Maneno mawili: "investment" (uwekezaji) na "development" (maendeleo) ni istilahi za Kimagharibi. Neno investment lina maana kwamba fedha zenyewe huzaa faida, ambayo ni kwa kupata riba. Kuhusu neno development, lina maana ya kutumia fedha katika viwanda, kilimo au biashara, ili kuzalisha faida.
The two words: “investment” and: “development” are Western terms. The term investment means that the money itself produces profit, which is by yielding interest. As for the term development, it means to use the money in industry, agriculture or trade, in order to produce profit.
Kulingana na ufahamu huu, uwekezaji wote hauruhusiwi, kwa kuwa ni riba, na riba ni haramu. Ingawa maandishi kuhusu uwekezaji wa kigeni yanaelezwa kwa kanuni kwamba ni marufuku kujihusisha na riba na Harbi, vilevile kama na Dhimmi na Muislamu, bila tofauti yoyote kati yao kutokana na ujumla wa maneno Yake (SWT):
Based upon this understanding, all investment is not allowed, since it is interest and interest is forbidden (Haram). Although the text regarding foreign investment is explained by the rule that it is prohibited to engage in interest with a Harbi, in the same way as a Dhimmi and a Muslim without any difference between them due to the generality of His (swt) words: