Ibara ya 26
Article 26
Kila Muslim mwenye akili timamu na mtu mzima, awe mwanamume au mwanamke, ana haki ya kuchagua kiongozi wa Dola na kumpa kiapo cha utiifu; ilhali wasio Waislamu hawana haki kama hiyo.
Every sane, adult Muslim, a male or a female, has the right to elect the leader of the State and to give him the pledge of allegiance; while the non-Muslims do not have such right.
Uhalisia wa Khilafah ni dalili kwamba kila Muislamu ana haki ya kumchagua Khalifah na kumpa kiapo cha utii, kwa kuwa zipo riwaya zinazoonyesha kwamba ni Waislamu ndio wanaompa Khalifah kiapo cha utii, awe mwanamume au mwanamke; imepokewa na ‘Ubadah b. Samit.
The reality of the Khilafah is evidence that every Muslim has the right to elect the Khalifah and to give him the pledge, since there are narrations which indicate that it is the Muslims who give the pledge of allegiance to the Khalifah, irrespective of whether they were male or female; it is narrated by ‘Ubadah b. Samit.
. »... بَايَ عْنَا رَسُولَ اللَّهِ « .
. »... بَايَ عْنَا رَسُولَ اللَّهِ « .
Tulimpa kiapo cha utiifu kwa Mtume wa Allah ﷺ…” imepokewa na Al-Bukhari, na kusimuliwa kutoka kwa Umm Attiyya aliyesema.
“We gave the oath of allegiance to the Messenger of Allah (pbuh)…” reported by Al-Bukhari, and narrated from Um Attiyya who said.
. »... بايعنا رسول الله « .
. »... بايعنا رسول الله « .
“Tumewekwa kiapo cha utiifu kwa Mjumbe wa Allah (pbuh)…” pia kutoka kwa Al-Bukhari, na yale aliyoyapokea Ibn Kathir katika Al-Bidayah Wal-Nihayah wakati ‘Abd al Rahman b. ‘Auf alipoteuliwa kuchukua maoni ya Waislamu juu ya nani awe Khalifah, alisema: “Alichukua maoni ya wanaume na wanawake”, na hakuna hata mmoja wa Maswahaba aliyemkemea kwa hilo. Hivyo basi, kila Muislamu, awe mwanamume au mwanamke, ana haki ya kumchagua Khalifah na kumpa kiapo cha utiifu. Kwa upande wa wasio Waislamu, hawana haki yoyote katika masuala haya kwa kuwa kiapo cha utiifu kimefungwa na Kitabu na Sunnah, na yeye haamini vyote viwili, kwani kama angeviamini angekuwa Muislamu.
“We have the oath of allegiance to the Messenger of Allah (pbuh)…” also from Al-Bukhari, and what Ibn Kathir reported in Al-Bidayah Wal-Nihayah when ‘Abd al Rahman b. ‘Auf was appointed to take the opinion of the Muslims as to who should be the Khalifah he said “He took men’s and women’s opinions”, and not one of the companions rebuked him over this. So every Muslim, a male or a female, has the right to elect the Khalifah and to give him the pledge of allegiance. As for the non-Muslims they have no right in these issues since the pledge of allegiance is upon the Book and the Sunnah and he does not believe in either of them, since if he believes in them he would be a Muslim.