7.1 Ukweli Kuhusu Mfumo wa Kiuchumi
7.1 Facts About the Economic System
Uislamu una mfumo wa kipekee wa kodi ambapo hakuna kodi inayowatoza maskini. Kuna aina tatu tu za kodi za kawaida zinazotozwa kwa wale walio na uwezo wa kulipa:
Islam has a unique system of taxation where there is no taxation of the poor. There are only three types of regular taxes levied from those people who are able to pay:
1. Jizyah - Ni kodi inayotozwa kwa wanaume waliobalehe wasio Waislamu, raia wenye uwezo wa kuilipa. Kiasi chake ni kidogo sana kuliko kodi yoyote inayotozwa kwa raia Waislamu.
1. Jizyah - Is a tax on mature male non-Muslim citizens who are able to pay it. This is much less than any tax on Muslim citizens.
2. Ushr - Ni kodi inayotozwa kwenye ardhi isiyotekwa iliyo chini ya mamlaka ya Dola, kwa kiwango cha sehemu moja ya kumi ya mazao ikiwa ardhi hiyo inanyweshwa kwa mvua, au sehemu moja ya ishirini ikiwa inanyweshwa kwa njia ya bandia.
2. Ushr - Is a tax levied on unconquered land under the jurisdiction of the State, at the rate of one tenth of the produce if the land is irrigated by rain, or one twentieth if it is artificially irrigated.