10.3.2 Hukmu ya Uamuzi wa Mahakama
10.3.2 The Hukm of the Judiciary
Imekubaliwa na madhehebu manne (yaani Hanafi, Shafi‘i, Hanbali na Maliki) kwamba mahakama ni fardh kifayah (fardhi ya kutosha), kama ilivyo Khilafah. Kwa hiyo, endapo hakuna mahakama, hakutakuwa na hukumu kwa mujibu wa Uislamu, na Ummah wote wa Kiislamu utakuwa na dhambi kwa kukosekana kwake. Lakini endapo kuna mahakama inayofanya kazi, inayotekeleza jukumu la kutoa haki kwa watu, basi fardhi hiyo imetekelezwa, na dhambi inaondoka shingoni mwa Waislamu.
It is agreed upon by the four schools of thought (i.e. Hanafi, Shafi‘i, Hanbali and Maliki) that the judiciary is fard kifayyah (sufficient fard) like the Khilafah. Accordingly, if there is no judiciary, there will be no judging by Islam, and the whole Muslim Ummah will be sinful for its absence. However, if there is a functional judiciary, that is fulfilling the role of administration of justice for the people, then the fard has been fulfilled, and the sin is removed from the necks of the Muslims.
Mtume wa Allah ﷺ alisema: "Siku moja ya Imamu mwadilifu ni bora kuliko kuabudu kwa miaka sitini, na kusimamishwa kwa hadd moja duniani ni bora kuliko mvua ya miaka 40."
The Messenger of Allah (saw) said, “One day from a just Imam is better than worshipping sixty years, and the establishment of one hadud (an Islamic punishment) on the earth is better than rain for 40 years.”.
Hizi ni baadhi ya maoni ya wanazuoni mashuhuri kuhusu suala la Mahakama.
These are some opinions of the distinguished scholars on the issue of the Judiciary:
- Imamu Sarkhasi alisema kuwa uadilifu wa kimahakama ni fardhi yenye nguvu zaidi baada ya imani, kwa sababu unahakikisha sheria za Allah (swt) zinatekelezwa kivitendo. - Imamu Ghazzali alisema kuwa uadilifu wa kimahakama ni sehemu ya Jihadi.
- Imam Sarkhasi considered that the judiciary is the strongest fard after iman, because it ensures Allah’s (swt) laws are implemented in practice. - Imam Ghazzali said that the judiciary is from the Jihad.
Abdullah ibn Mas'ud (ra) alisema, "Napendelea kuketi kama hakimu kati ya watu wawili kuliko kufanya ibada kwa miaka 70."
- ‘Abdullah ibn Mas‘ud (ra) said, I prefer to sit as a judge between two people more than to perform 70 years of ibadat.