27 Katiba: MFUMO WA KIUCHUMI
27 Constitution: THE ECONOMIC SYSTEM
Kifungu cha 119.
Article 119.
Usimamizi wa uchumi ni mtazamo wa jinsi jamii inavyopaswa kuwa wakati wa kushughulikia kukidhi mahitaji (ya binadamu), hivyo jinsi jamii inavyopaswa kuwa huchukuliwa kama msingi wa kukidhi mahitaji hayo.
management ofe economics is the view of what the society ought to be when addressing the satisfaction of (human) needs, so what the society ought to be is taken as the basis for satisfying the needs.
Kifungu cha 120.
Article 120.
Tatizo la msingi la kiuchumi ni jinsi ya kugawa mali na manufaa/huduma kwa raia wote wa Dola, na kuwawezesha raia wote kuzitumia mali na manufaa/huduma hizo kwa kuwapa uwezo wa kujitahidi na kuzimiliki.
The fundamental economic problem is how to distribute funds and benefits/ services to all subjects of the State, and to facilitate all the subjects to utilise these funds and benefits/ services by enabling them to strive and possess them.