21 Katiba: JESHI
21 Constitution: THE ARMY
Kifungu cha 56.
Article 56.
Jihad ni wajibu (farD) wa lazima kwa Waislamu wote. Kwa hiyo, mafunzo ya kijeshi ni ya lazima. Hivyo basi, kila Mwislamu wa kiume mwenye umri wa miaka kumi na tano na zaidi, analazimika kupata mafunzo ya kijeshi ili awe tayari kwa jihad. Hata hivyo, kuandikishwa jeshini ni farD kifaya.
Jihad is a compulsory duty (farD) on all Muslims. Military training is therefore compulsory. Thus, every male Muslim, fifteen years and over, is obliged to undergo military training in readiness for jihad. Conscription, however, is farD kifayah.
Kifungu cha 57.
Article 57.
Jeshi limegawanywa katika sehemu mbili: wanajeshi wa kawaida, ambao wanalipwa mishahara kutoka bajeti ya Dola kama waajiriwa, na wanajeshi wa akiba, ambao ni Waislamu wote wanaoweza kupigana.
The army is divided into two parts: the regulars, who are paid salaries from the State's budget as employees, and the reserves, who comprise all the Muslims capable of fighting.