18 Katiba: MSAIDIZI ALIYEKABIDHIWA MAMLAKA (mu'awin ut-tafweeD)
18 Constitution: DELEGATED ASSISTANT mu’awin ut-tafweeD
Kifungu cha 41.
Article 41.
Khalifa humteua msaidizi mwenye mamlaka ya kumsaidia katika kubeba jukumu la utawala. Humkabidhi jukumu la kusimamia mambo kwa mtazamo wake mwenyewe na ijtihadi yake.
The Khaleefah appoints an assistant delegated with the authority to assist him in undertaking the responsibility of ruling. He deputises to him to manage affairs with his own point of view and ijtihad.
Kifungu cha 42.
Article 42.
Msaidizi aliyewakilishwa lazima awe na sifa zile zile za msingi za Khalifa, nazo ni: awe mwanaume, awe huru, awe Mwislamu, awe amefikia umri wa kubaleghe, awe na akili timamu, na awe ni 'adl (mwaminifu na mwenye uadilifu). Zaidi ya hayo, lazima awe na uwezo katika kazi ambazo amekabidhiwa kuzitekeleza.
The delegated assistant must be qualified with the same essential qualifications of the Khaleefah, viz., male, free, Muslim mature, sane, and 'adl (trustworthy). Additionally he must be competent in the tasks for which he is deputised to undertake.