29 Kiwango cha Karatasi
29 The Paper Standard
Kiwango cha karatasi kinachukua sarafu ya karatasi kama chombo cha mzunguko. Sarafu ya karatasi ni maelezo ya hati za mzunguko zilizotolewa kwa manufaa ya mmiliki wake, ambazo zinawakilisha deni maalum lililodhaminiwa na Dola au mamlaka ya sarafu iliyoitoa, iwapo karatasi hii ni badala ya dhahabu au fedha, au karatasi iliyodhaminiwa kwa dhahabu au fedha.
The paper standard takes paper currency as the tool of circulation. Paper currency is an expression for circulated vouchers issued for the benefit of its bearer, which represent specific debt secured by the State or currency authority that issued it if this paper is a substitute for gold or silver, or secured paper backed by gold or silver.
Sarafu ya karatasi inaweza kuwa badala ya dhahabu au fedha inayomilikiwa na Dola, kwa namna ambayo inaiwakilisha kikamilifu, yaani dhahabu au fedha inayoiunga mkono sarafu hii inayozunguka inawakilisha thamani yake kwa asilimia 100. Hivyo, mwenye sarafu hii ya karatasi inayowakilisha ana haki ya kuibadilisha kuwa dhahabu au fedha, kulingana na akiba hiyo, wakati wowote anapotaka bila masharti wala kikomo. Sarafu hii inayowakilisha inachukuliwa, kiukweli, kuwa ni ya mfumo wa metali. Kinachotokea ni kwamba badala ya dhahabu au fedha zenyewe kuzunguka, sarafu hii inayowakilisha inachukua nafasi yake katika mzunguko kwa sifa yake kama mwakilishi wake.